Chuga Boy Member Joined Jan 1, 2013 Posts 70 Reaction score 5 Jan 25, 2014 #1 Wakuu habarin za jion! ningependa kujua kama kuna mathara yeyote ambayo yanaweza kumpata mwanaume endapo hatofanya mapenzi (tendo) kwa mda mrefu. ningependa nielezewe kwa pande mbili. kiafya na kisaikolojia?​
Wakuu habarin za jion! ningependa kujua kama kuna mathara yeyote ambayo yanaweza kumpata mwanaume endapo hatofanya mapenzi (tendo) kwa mda mrefu. ningependa nielezewe kwa pande mbili. kiafya na kisaikolojia?​