m2peace Member Joined Jul 5, 2024 Posts 7 Reaction score 19 Mar 22, 2025 #1 Nataka kulog in ila nimesahau pasword .. wanatuma code kwenye namba ya simu .. bado wanatuma verfication code kwenye gmail iyo iyo ambayo nataka kulog in .. Mwishon nikibofya use other way inagoma kabisa [emoji25][emoji22]View attachment 3279879View attachment 3279880View attachment 3279881View attachment 3279882View attachment 3279883
Nataka kulog in ila nimesahau pasword .. wanatuma code kwenye namba ya simu .. bado wanatuma verfication code kwenye gmail iyo iyo ambayo nataka kulog in .. Mwishon nikibofya use other way inagoma kabisa [emoji25][emoji22]View attachment 3279879View attachment 3279880View attachment 3279881View attachment 3279882View attachment 3279883
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 52,615 Reaction score 127,563 Mar 22, 2025 #2 Njoo PM na buku ishirini nishughulikie tatizo lako
Top gun maverick JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 2,092 Reaction score 2,923 Mar 22, 2025 #3 Hio email una hakika ulisajilia laini hio hio maana inatakiwa ukitumiwa hizo code ureset password basi.
Hio email una hakika ulisajilia laini hio hio maana inatakiwa ukitumiwa hizo code ureset password basi.
Bigmaaan JF-Expert Member Joined Nov 25, 2023 Posts 470 Reaction score 1,087 Mar 22, 2025 #4 Jaribu njia hizi. Tumia browser ambayo ulikuwa ukiitumia mara ya mwisho ku-login Jaribu kucommand reset na ujibu security questions. Pia uweke location on. Mwisho ingia 👉🏻Google Workspace Status Dashboard uone kama imezuia kutuma sms code. Ikifail create account nyingine, gmail recovery huwa wanazingua sana.
Jaribu njia hizi. Tumia browser ambayo ulikuwa ukiitumia mara ya mwisho ku-login Jaribu kucommand reset na ujibu security questions. Pia uweke location on. Mwisho ingia 👉🏻Google Workspace Status Dashboard uone kama imezuia kutuma sms code. Ikifail create account nyingine, gmail recovery huwa wanazingua sana.
Pyaar JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 17,214 Reaction score 80,142 Mar 22, 2025 #5 Kama hauna wasiwasi naomba taarifa zako nikusaidie.
AHAS JF-Expert Member Joined Nov 28, 2022 Posts 803 Reaction score 1,385 Mar 22, 2025 #6 Tumia device nyingine