Kayler Member Joined Jul 17, 2016 Posts 25 Reaction score 6 Aug 12, 2016 #1 Mimi ni mwalimu wa sekondari nataka kuhama kwenda mkoa mwingine. Hivyo basi naomba mdau yeyote mwenye waraka mpya wa hivi karibuni anitumie sasa hivi. Maana nilionao ni waraka wa zaman kidogo. Please, naomba msaada wenu..
Mimi ni mwalimu wa sekondari nataka kuhama kwenda mkoa mwingine. Hivyo basi naomba mdau yeyote mwenye waraka mpya wa hivi karibuni anitumie sasa hivi. Maana nilionao ni waraka wa zaman kidogo. Please, naomba msaada wenu..
S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,762 Reaction score 8,003 Aug 12, 2016 #2 weka kwanza huo wa kale tuuone
S Shegynho Senior Member Joined Jun 5, 2016 Posts 182 Reaction score 111 Aug 12, 2016 #3 MAelezo hayatoshelezi bhana fafanua zaidi