Naanza kupata mwanga sasa......Ahsante sana RussianRoulette.Mi nimewahi kufanya kazi katika kampuni fulani, mwanzo nilifanyia head office ambapo kulikua wanawake wengi na kweli kulikua na kelele nyingi kama alizo zitaja huyo dada, but shida ilitokea kwa jinsia zote. Later nikahama katika one of the branches mkoani na huko kulikua na wanaume zaidi, na kelele zilikua chachel, tulifanya kazi as a team, kila mmoja akimtegemea mwenzie.
I took it kwamba kazi za head office pale mjini zinawafanya watu kujisahau kua wamejuja kufanya kazi, wanakalia umbea, na kazi za field zinakua na challenges za kipekee ambazo you can only overcome as a team.
It was not so much a gender issue, it had more to do with the nature of the job.
jamani kumbe unakerwa na miraba yangu..............Samahani sana, lakini kusoma mraba wangu mrefu una utamu wake, hebu waulize wenzio watakwambia wanachofaidi..................LOLhuu nu kweli, hata m,ahala bosi mkubwa kama managing director sijui CEO akiwa mwanamama angalia ufanisi wake unakuwaje!
wanakuwa na vijimajivuno vya ajabu, madongo hayaishi humo ofisin yan, nyodo tuu! yale yale ya wakina blandina nyoni lolz!
yan hekaheka tuu mwanzo mwisho, umbea, majungu, midomo midomo ivyoo yan! espeacially kwa wanawake wenzie lakinii..... !
afu hongera leo umeweka kitu kifupii jaman nami nimechangia maana mmh!
kama iv asubuh asubuh nitasoma but ikifika saa 7 uko mavitu marefuu mmh nakuwa nimechoka tayarii, nayasomaga yoote but usiku nikisettle ss!jamani kumbe unakerwa na miraba yangu..............Samahani sana, lakini kusoma mraba wangu mrefu una utamu wake, hebu waulize wenzio watakwambia wanachofaidi..................LOL
Nakubaliana na RR, nature ya kazi inahusika zaidi. Kuna kazi ambazo bila kuzishambulia kama nyuki haziendi, so ushirikiano ni automatic na muda wa majungu na udaku hakuna. Kupata umbea napo inahitaji nafasi mzee.
Japo kazi za field huwa sipendi kufanya na wanawake coz of kudeka na kukosa mpangilio, mfano mmepatana tuanze kazi saa moja yeye anachelewa kuamka na kukolezea wanja nusu saa, aaaggghhhrrr!Umenikumbusha kazi moja ambayo niliikosa kwa sababu ya jinsia yangu, I was very upset. Well, ingekuwa kazi ngumu na ningekuwa mwanamke alone kwenye tented camp yenye wanaume 50 hivi but I was up to the challenge. That was very unfair!
Do I smell sexism here?There are some truth here!Sisi wanaume tumeumbwa tofauti sana na wanawake!Kuna mambo wakiyafanya wanawake unatakiwa usishangae,umbea,kusengeny na mambo mengine ya kufanana na hayo wanawake wameumbwa hivyo!
Do I smell sexism here?
RussianRoulette, nilienda kule kitalii zaidi, subiri nitaweka picha hapa muda si mrefu, nilikwenda kule kupumzisha akili na mwili baada ya misukosuko ya kazi nyingi na uchovu wa kuperuzi JF kila siku.Indeed, that is unfair... That happens often in Mining where they want things to move quick, wanaogopa (wrongly) kua wanawake watashindwa.
Hivi Mtambuzi huko selous ulikoenda si ni Mining? tena Uranium? Au wewe ulienda kitalii zaidi
Nimesema kua inategemea mazingira na nature ya kazi. Mara nyingi kazi za ofisini happen around the 'decision makers', the HR office and other people who can advance your career. People in these environment tend to think that being close to the Boss or being perceived as a hard working person will bring about promotion, salary increase and other recognitions. Competition to win those recognition inakua ya n guvu na watu hutumia silaha zote, including kuchafuana. Pia hizi kazi za ofsini ni majina makubwa ila content ya kazi iko vague sana.No!Hebu weka mtazamo wako kando,na ujiulize sababu za matatizo yaliyoelezwa hapo juu!
RussianRoulette, nilienda kule kitalii zaidi, subiri nitaweka picha hapa muda si mrefu, nilikwenda kule kupumzisha akili na mwili baada ya misukosuko ya kazi nyingi na uchovu wa kuperuzi JF kila siku.
Sina uhakika kama kule Selous kuna madini ya Uranium, na kama yapo serikali haitoweza kuruhusu yachimbwe, kwani ile hifadhi ina ukubwa kama nchi ya Lebanon hivi, niliambiwa kwamba nchi kama Ubelgiji inamezwa na robo tatu inabaki labda maana ina 55,000 square meters, imechukua 5% ya nchi nzima ya TZ.
Kuna mengi tusiyoyajua katika eneo hilo, nitafunguka baadae, kuweka uzoefu wangu nilioupata huko Selous.
Mkuu, mbona wamemaliza prefeasibility, wanafanya bankable feasibility sasa hivi na wenye kuhusika na hizo study ni Metago consulting. Construction itaanza mwaka huu kama sikosei! Serikali imesha kubali.(link)
Indeed, that is unfair... That happens often in Mining where they want things to move quick, wanaogopa (wrongly) kua wanawake watashindwa.
Hivi Mtambuzi huko selous ulikoenda si ni Mining? tena Uranium? Au wewe ulienda kitalii zaidi
Hayo mambo Unko yapo sana tena,tena wakuone wewe kidogo uko juu ndio utatupiwa yote oooh anajisikia,mara anajidai,mara sijui tutakula nae sahani moja,mara udaku mwengine apelekewe boss, lakini ukifanya kazi na wanaume
Raha tupu wanakuelewesha na kukusaidia.....