lusanasaimon
Senior Member
- Jan 19, 2023
- 108
- 264
Hata mimi ningekuona jau tumludiane
Inahitaji wito aiseMnaorudiana mnawezaje jamani😃😃
Kwakweli 😃...maana mimi siwezi hata kujaribu aisee🤓🤓Inahitaji wito aise
eti eeehUsanii tu.
nakitakacho kusukuma utake kurudiana na jau ni kipi?Hata mimi ningekuona jau tu
chapa ilaleMnaorudiana mnawezaje jamani😃😃
kwa garama yoyote sio?Wanamaanisha wewe ni sub
Wakitendwa na wanaowapenda wanarudi kwako kujipoza
wa hivyo unakula mbussu kisha unamtema, akirudi tena hivyo hivyoKama dawa kama kawa. niende kwenye swali bila kupoteza muda kwa wajuvi au ambao wamesha kutana na hili.
Hivi wanawake wanamaanisha nini pale unapokua nae kwenye mahusiano anakuona jau (fala) halafu ukimpiga chini (ukimtema) kabla hata mwezi haujaisha anaanza kukusumbua hata kwa kukununulia vizawadi, au kwakujiliza kwamba umsamehe mrudiane?
Dah [emoji134]They pretending then will break up with you again you know to be lived it pains so they want to revenge
Jamaa kamwaga broken English ya maana daah nimecheka sanaDah [emoji134]
Anhaaawa hivyo unakula mbussu kisha unamtema, akirudi tena hivyo hivyo
una hit mpaka yeye ndo ana run
👏wa hivyo unakula mbussu kisha unamtema, akirudi tena hivyo hivyo
una hit mpaka yeye ndo ana run