Naomba usome: Bange Nibangue...

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,217
863
Wajamaa walipoa chimbo flani wakichoma weed, baada ya kupushi kwa muda hivi waliishiwa kiberiti, ikabidi wamtume mmoja wao aende akaazime. Jamaa baada ya kuzunguka kidogo aliwakuta jamaa wamesizi akawauliza..oya mnaweza kuniazima kiberiti mara moja.?? Majamaa wakajibu, sisi wenyewe tumeishiwa kuna dogo ndo tumemtuma...kumbe dogo ndo mshkaji walomtuma ..si yeye wala wao anayemkumbuka mwenzake.! Kweli bhange mbaya.!
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom