Naomba ushauriii

Naomba ushauriii

Sawa kaka tatizoo iyo sifa inazid kusambaa mpaka naanza kunyooshewa vidole inaninyima raha na amani ata ham ya kula na kazi nimeichukiaa
Kama sio punga kweli potezea na kuwa na amani tuu comredy, issue inauma pale unapotangaziwa kuwa ni punga, na kweli ukawa unajihusisha.
 
Nafanya kazi kweny taasis mfanyakaz mwenzangu ni binti toka siku yakwanza nimeajiriwa mapokez yake kwang kama hakufurahia ata akiniona ofisin hubadilika kabisa sasa hiv majuz zilivyoanza story za konkii akaanza kusambaza maneno kwamba na mimi niko ivyoo baadhi ya watu walinambia ilinikera sana ila walinishaur nimwache tu lakn kila siku inapoenda jina langu linazidi kuchafuka mtaan yanaanza kufuki isitoshe nina familia na mtoto juu nashindwa cha kufanya kusafisha jina langu
I can feel your frustrations.. Kusingiziwa ni punga kwa mwanaume usiyefanya hiyo tabia halafu story zikaenea kitaa.. najaribu kuvaa viatu vyako.. job watu wanajua unabanduliwa kumbe Hapana!! Aiseee ni afadhali story kama hii ienee huku unafanya kweli.
Pole sana man.
 
Nakubali. Amuombe mkutano wa watu wawili.
Kama kweli upo determined kusafisha jina anza na kuondoa jina Jaden. Tafuta jina la kiumeni.
Man mfuate kishkaji ongea nae ujue tatizo lake ni nn. Akiomyesha kuto kutoa ushirikiano mpeleke kwenye vyombo vya sheria
 
Sawa kaka tatizoo iyo sifa inazid kusambaa mpaka naanza kunyooshewa vidole inaninyima raha na amani ata ham ya kula na kazi nimeichukiaa
yaan kitu hufanyi then unaumia kisaikolojia hakuna HR ofcn kwenu au watu wa discipline ,waite watu km watatu wazee na wafanyakazi wenzio wakiwemo marafiki zake na zako then muyaongee,ukishindwa dawa ni kumbadua tu
 
Unaanzaje kuitwa Jaden, mambo mengine mnayatafuta wenyewe
Jina sio kikwazo cha ilo jambo ni jina la kiume pia sio jina ninaloitwa just user name na limekuja tu si jui na sijaona uhusiano lakn asante kwa maneno yako pia
 
Tomb.a mototo uyo ww.... Tena fanya fasta kumam@e naona kazidisha dharau.
 
Hilo jina la Jaden lenyewe unalotumia mmoja kati ya wenye jina hilo Jaden Smith ambae ni mtoto wa willy smith amejitangaza ni punga/shoga/gay.
Inaweza kuwa hata jina ameliiga kwa huyo dogo ili kuakisi upunga wake.
Anajitangaza kiaina huyu.
 
Huyo usipommicha wallah heshima itazidi kudorora. Mhonge hata mshahara wako wote. Tena tarehe zenyewe ndio hizi.

Leta mrejesho tafadhali.
 
Back
Top Bottom