Naomba ushauriii

Naomba ushauriii

Jaden18

Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
7
Reaction score
3
Nafanya kazi kweny taasis mfanyakaz mwenzangu ni binti toka siku yakwanza nimeajiriwa mapokez yake kwang kama hakufurahia ata akiniona ofisin hubadilika kabisa sasa hiv majuz zilivyoanza story za konkii akaanza kusambaza maneno kwamba na mimi niko ivyoo baadhi ya watu walinambia ilinikera sana ila walinishaur nimwache tu lakn kila siku inapoenda jina langu linazidi kuchafuka mtaan yanaanza kufuki isitoshe nina familia na mtoto juu nashindwa cha kufanya kusafisha jina langu
 
Kitu kama huhusiki haina madhara kwasababu ukweli utajulikana,ukweli haujifichi kama ni uwongo ye mwenyewe atakuja kuonekana mzushi,we Fanya mambo yako achana naye
Sawa kaka tatizoo iyo sifa inazid kusambaa mpaka naanza kunyooshewa vidole inaninyima raha na amani ata ham ya kula na kazi nimeichukiaa
 
Tatizo.mnakaa kikekike, mnapenda kujipodoa sana lazime utangazwe kuwa huna marinda kutokana na mwenendo wako wa kila siku.
 
Uvyosema kujipodoa wala swaga zozote za kis..... yan ubraza men mimi sio mtu wa mikato iyoo
 
Nafanya kazi kweny taasis mfanyakaz mwenzangu ni binti toka siku yakwanza nimeajiriwa mapokez yake kwang kama hakufurahia ata akiniona ofisin hubadilika kabisa sasa hiv majuz zilivyoanza story za konkii akaanza kusambaza maneno kwamba na mimi niko ivyoo baadhi ya watu walinambia ilinikera sana ila walinishaur nimwache tu lakn kila siku inapoenda jina langu linazidi kuchafuka mtaan yanaanza kufuki isitoshe nina familia na mtoto juu nashindwa cha kufanya kusafisha jina langu
Huyo wewe fanya hima umkaze natena chezea mbolea halafu mchukue kashort video kidogo tu nawe mpakazee
 
Nafanya kazi kweny taasis mfanyakaz mwenzangu ni binti toka siku yakwanza nimeajiriwa mapokez yake kwang kama hakufurahia ata akiniona ofisin hubadilika kabisa sasa hiv majuz zilivyoanza story za konkii akaanza kusambaza maneno kwamba na mimi niko ivyoo baadhi ya watu walinambia ilinikera sana ila walinishaur nimwache tu lakn kila siku inapoenda jina langu linazidi kuchafuka mtaan yanaanza kufuki isitoshe nina familia na mtoto juu nashindwa cha kufanya kusafisha jina langu
Utakuwa umelegealegea ndio maana wanahisi hivyo
 
Naomba namba yake mkuu nimkaze
 
Back
Top Bottom