Naomba ushauri

Naomba ushauri

JOPA

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
8
Reaction score
1
naomba ushauri jamani,nina mchumba wangu ananishangaza sana sasa hivi,nikimtumia sms hajibu,halafu hapigi hadi nimpigie na nikimuuliza maswali anakuwa mkali.nifanyeje wapendwa,maana mi najisikia vibaya sana anavyofanya na bado nampenda sana
 
mkuu pole sana kwa matatizo...!

naomba kwanza kufahamu, wewe na mpenzi wako huyo, mna tofauti gani hasa? namaanisha kielimu, kipato na hata kiumri kama inawezekana?
 
yeye ana degree ila hajapata kazi bado na ana kipato kutokana na kazi anazofanya ila mimi bado nasoma.na kiumri kanizidi miaka kumi
 
Samahan wew ni me au ke???
 
naomba ushauri jamani,nina mchumba wangu ananishangaza sana sasa hivi,nikimtumia sms hajibu,halafu hapigi hadi nimpigie na nikimuuliza maswali anakuwa mkali.nifanyeje wapendwa,maana mi najisikia vibaya sana anavyofanya na bado nampenda sana

Ukiona manyoya ujue.....
 
...sikuwahi kufahamu kama vifaranga vinaacha manyoya,dunia kushney....
 
It z simple
 
Attachments

  • 1393442744534.jpg
    1393442744534.jpg
    8.2 KB · Views: 407
naomba ushauri jamani,nina mchumba wangu ananishangaza sana sasa hivi,nikimtumia sms hajibu,halafu hapigi hadi nimpigie na nikimuuliza maswali anakuwa mkali.nifanyeje wapendwa,maana mi najisikia vibaya sana anavyofanya na bado nampenda sana

Aisee Inaniuma sana nikifikiria huwaga ninalia, inauma sana hata watoto wadogo wanicheka sana, Inaniuma sana nikifikiria huwaga ninalia, inaniuma sana Demu wangu amepima amekuta anangoma. Huo mstari wa mwisho ndiyo ujumbe wangu ukiendelea kug'ang'ania
 
Aisee Inaniuma sana nikifikiria huwaga ninalia, inauma sana hata watoto wadogo wanicheka sana, Inaniuma sana nikifikiria huwaga ninalia, inaniuma sana DEMU WANGU AMEPIMWA AMEKUTWA ANA NGOMA... Huo mstari wa mwisho ndiyo ujumbe wangu ukiendelea kug'ang'ania

Usimsikilize ... Nzi kufa kwenye kidonda sio aibu
 
jitahid kuongea nae ana kwa ana ujue kinachomsibu,kuwa makini usimng'ang'anie tuu kwa kuwa unampenda
 
kung'ang'ania sio kuzur jaman.. kama unaona kabisa upepo unakoelekea siko bora mapemaaa ujisepee zako.
 
Muulize kwa nini anakufanyia hivyo au nawewe mchunie uone atakaamuda gani bila kukukumbuka akimaliza wiki au wiki mbili basi uanze ustaarabu mwingine.
 
Back
Top Bottom