T Tsue'tey New Member Joined May 24, 2013 Posts 1 Reaction score 0 May 24, 2013 #1 Nina mpenzi wangu nampenda sana ila hatuishi kugombana kila kukicha tatizo ni kwamba kila ninachofanya anahisi namdharau na nimeshamwambia sana ukweli wangu lakini bado ni haelewi je nifanye nini jamani?
Nina mpenzi wangu nampenda sana ila hatuishi kugombana kila kukicha tatizo ni kwamba kila ninachofanya anahisi namdharau na nimeshamwambia sana ukweli wangu lakini bado ni haelewi je nifanye nini jamani?