Justin justwizz
Member
- Mar 1, 2013
- 13
- 0
habar zenu wna jf naomben ushaur kwa jambo hili. Nilikuwa ninamchumba ambaye 2lipendana xana yn nilimpenda kwa dhati lkn mwisho wacku akanipgia cmu akaniambia niachane naye bt ckumkosea ki2. Mm niliachana naye kama alivyo xema nikaamua kukaa bila mchumba.kma mnavyojua wna jf maisha nikutafuta.mwezi 2 mwaka 2013 nilikutana na dada mmoja ambaye 2likaa chini 2kaelezana kilam2 hcia zke kwa mwenzake. Huyu mchumba 2napendana xana na2meahidiana meng na anampango mzuri na mm wamaisha. Chakushangaza leo ylemchumba wngu wa zmani ananipgia cmu eti nimsamehe na anataka 2funge ndoa. Sasa wana jf hebu nixaidien kwamba nifanyaje na ukizingatia ninamchumba ambaye2napendana xana.
i definately knew this.huyo sio wa kuoa bwana achana nae kabisa ila fanya kitu kimoja...muombe tigo alafu mbwage
narudi muda si mrefu
Wewe mzabzab, mbona wawapa mafunzo mabaya watoto yakhe!.huyo sio wa kuoa bwana achana nae kabisa ila fanya kitu kimoja...muombe tigo alafu mbwage
nikionaga hv wala haiichukui sec thought kwangu kuconclude kwamba ni balehe ya kwanza.
nikionaga hv wala haiichukui sec thought kwangu kuconclude kwamba ni balehe ya kwanza.
duh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
mambo ya vijana hayo
wanaoanza balehe!!!!!!!!!!!!!!!
Habar zenu wna jf naomben ushaur kwa jambo hili. Nilikuwa ninamchumba ambaye 2lipendana xana yn nilimpenda kwa dhati lkn mwisho wacku akanipgia cmu akaniambia niachane naye bt ckumkosea ki2. Mm niliachana naye kama alivyo xema nikaamua kukaa bila mchumba.kma mnavyojua wna jf maisha nikutafuta.Mwezi 2 mwaka 2013 nilikutana na dada mmoja ambaye 2likaa chini 2kaelezana kilam2 hcia zke kwa mwenzake. Huyu mchumba 2napendana xana na2meahidiana meng na anampango mzuri na mm wamaisha. Chakushangaza leo ylemchumba wngu wa zmani ananipgia cmu eti nimsamehe na anataka 2funge ndoa. Sasa wana jf hebu nixaidien kwamba nifanyaje na ukizingatia ninamchumba ambaye2napendana xana.
kizazi hiki kinakwenda wapi?
digital premier.
ndo kinaangamia?
maombi yako muhimu,mkumbushe mama kusali kwani biblia inawathamini wamama waombolezaji ili kulikomboa taifa.