Naomba Ushauri.>

Pamoja Dark City,

Na mimi ndo namsubiri ili nimsikie. Akitueleza jinsi alivyofahamu habari za hiyo mimba inaweza kusaidia kupunguza tatizo la kubambikiana mimba kila kukicha.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ndiyo maana nikasema kuwa huyu inawezekana ameshindwa kujua kuwa kabla ya watu kujicommit lazima watofautishe mchele na chuya...the tests sometimes are very simple....!!


Babu DC!!
 
Samehe saba mara sabini kwmb ondoa uchungu moyoni mwako na usiwe na kisasi tena,Lakini kwa habari ya kuoa kiukwel hakufai kabisa kumbuka tuKwamba everything is happening for a reason,Mungu kakuonyesha mapema kwmb huyo siyo mke,kwanza kafanya usaliti pili kaamua kutoa mimba kufunika usaliti wake bila kukushirikisha,hapana usizishiriki dhambi zake na laana hiyo ya kutoa mimba,ww bado ni kijana mdogo sana usijitishwe mizigo mizito Tulia kabisa Mungu atakupa wako mwaminifu.
 
 
Hata mm nimeipenda hii hebu funguka zaidi hiyo mimba ya wiki 3 ulitambuaje?
 
Daa mi naona huyo muuwaji hafai kabisa maana kapoteza kiumbe kisicho na hatia.
Huyo hata ukimkubali bado anaweza kuwa fisadi wa mapenzi.Kimbiaaaaaaa1
 
Hata mm nimeipenda hii hebu funguka zaidi hiyo mimba ya wiki 3 ulitambuaje?[/QU= Naitaj ushauri na co Majungu jaman. Ucombe ikukute wewe. Nifanye nini jaman coz bado nampenda. Bt huyo jamaa yang ndio chanzo.
 
We utakua na moyo wa chuma,kacheat,katoa mimba na stl bado unampenda....wat a heart mpk nataman ungekuwa my portifolio!!

Sent from my desktop
 
Huyo hawezi kuwa mwaminifu kwako kamwe!

 
Ninachojua na kwa imani yangu mtu atoae mimba ni mwaga damu isiyo na hatia na hukaribisha laana ndani ya familia au ukoo au jamii yake....so hakuna dhambi nzito kama kuua aiseee...kaa pembeni wacha kujitwika zigo la misumari kwa mihemko ya moyo na ujana.......
 
............. Kama kawaida huyo si mtu anayefaa kuwaa mke.... sio mwaminifu... anakwenda hovyo.... hata akiwa mkeo mambo yatakuwa yaleyale... atakuletea watoto wa nje...hajatulia ... anza jipange upya... Mungu kakunusuru sio wa kwako.....
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…