Jan 2-5 mwaka huu nlikuwa home Kwa wazeee sasa Kuna dogo wa kwa 'faza mdogo' kalea mimba demu alivozaa salama akamchana jamaa hili sio bao lako dogo wa Miaka 20 kapata pressure
Mtoto aliyekamilika kwa hali ya kawaida anazaliwa baada ya wiki 37 hadi 42, ambayo ni wasitani wa miezi 9+, hivyo kwa mazingira yako kimbia hata usiangalie nyuma huyo siyo wako
Ni mtoto wa kike ni wako ila kama ni a kiume ndio kuna utata.
Mara nyingi watoto wa kike huzaliwa kati ya miezi 8-9 ila wa kiume huzaliwa kati ya miezi 9-10 kuanzia kitungwa kwa mimba mpaka kuzaliwa. Huyo amezaliwa baada ya miezi 8 na siku 13 ambayo ni sahihi kama ni Binti ndio kazaliwa.
Yote kwa yote ukitulia fanya utaratibu wa kwenda kupima DNA test.
Jan 2-5 mwaka huu nlikuwa home Kwa wazeee sasa Kuna dogo wa kwa 'faza mdogo' kalea mimba demu alivozaa salama akamchana jamaa hili sio bao lako dogo wa Miaka 20 kapata pressure