Mkuu nauliza nijue tu,Kunywa maji mengi + fresh juice zitakusaidia.
Sawaa nashukuruPole sana, acha ngono zembe
Kuanzia litre 1.5 na kuendeleaMkuu nauliza nijue tu,
Hivi mtu akiambiwa "Kunywa maji mengi" hua ina maanisha anywe maji beyond his capacity? Au hayo maji mengi huanzia lita ngapi?
Watu wengi tunakunywa maji kiasi kidogo sana chini ya lita 2 kwa siku.Mkuu nauliza nijue tu,
Hivi mtu akiambiwa "Kunywa maji mengi" hua ina maanisha anywe maji beyond his capacity? Au hayo maji mengi huanzia lita ngapi?
Sawa kabisa.Watu wengi tunakunywa maji kiasi kidogo sana chini ya lita 2 kwa siku.
Tukisema kunywa maji mengi ni zaidi ya lita 2 kwa kutwa moja.
Kunywa maji hata kama husikii kiu,maji ni tiba nzuri sana katika mwili wa binadamu.
Sio UTI nenda hospital ambazo si za kibiashara utakutana na maajabuHabari wakuu,mimi ninachangamoto moja,hapa majuzi niliumwa nikaenda hospital nikakutwa nina UTI kali na maralia nikachoma powersafe na pia nikanywa mseto
Baada ya muda nikaanza kusikia tena hali ya kuumwa nikapima nikaambiwa UTI haijaisha nikanywa azuma kwa siku 6 nimemaliza siku moja imepita sasa still kichwa hasa hapa kwenye kipandauso na pia fizi kama zinauma.. itakuwa nn
Nipe uzoefu wako mkuuSio UTI nenda hospital ambazo si za kibiashara utakutana na maajabu
SawaWanashauri uti ikiwa kali jitahidi ukapime na mwenza wako kwa sababu unaweza kujitibu kumbe mwenzako anayo.Pia kunywa maji mengi