Naomba ushauri

Ukiona umetenga chakula halafu mlaji akakigusagusa tu na kuacha,usikimbilie kudhani kuwa kashiba,yawezekana chakula chako ni kibaya.Sasa wewe badala ya kutafuta tatizo lilipo na kulitatua analeta fikra za kuwakiwa moto kwa mchungaji.Angalia usije ukakosa mwana na maji ya moto.
 
Acha na pastor wa watu kama uko serious njoo PM kwa ushauri nasaha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…