Habari poleni na majukumu samahani mimi na swali pia naomba ushauri wenu mimi ni mdogo wenu samahani sana.
Mimi nimerudia mwaka jana kidato cha 4 lakini baada ya matokeo kutoka nimefatilia result slip shule niliofanyia mtihani nimeambiwa bado hadi saiv azijatoka lkn kuna shule kama jitegemee JKT kwao zipo na wanafunzi wanaenda kuchukua saiv ni mwez umepita.
7bu kuna kazi nimepata lakni naitajika kupeleka iyo result slip hadi saiv sielew cha kufanya.
Naomba ushauri wako.