Naomba ushauri

Naomba ushauri

Ezybray

New Member
Joined
Nov 7, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Habari za saiz ,nimekua nikisumbuliwa na tatizo la kushindwa kucheua pamoja na maumiv makali ya kichwa na mwili kwa ujumla haswa haswa mgongo upande wa kulia na kushoto ,na mara nyingi imekua kama nakabwa baada ya kula chakula ,hospitali niliambiwa ni acid imejaa tumboni na nilipewa omeprozole lakin bado sijafanikiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom