Naomba ushauri

Joined
May 19, 2018
Posts
12
Reaction score
1
Wadau,mimi ni kijana niliemaliza kidato cha sita mwaka huu 2019,nimescore Div 3.14 na nina D moja,naomba kufahamishwa vyuo vya ngazi ya diploma katika fani ya FINE ARTS AND DESIGNING au CINEMATOGRAPHY hapa nchini.Nitashukuru kwa msaada wenu
 
Wewe kama una point 3.14 basi jua unaenda degree, zinazotaliwa ni points 4 tu ambazo unazipata kwa DEE, huo ujinga wa D mbili mnautoa wapi? Embu soma kitabu kipya cha TCU 2019/20.
 
Kasema ana D moja tu basi
 
Wewe kama una point 3.14 basi jua unaenda degree, zinazotaliwa ni points 4 tu ambazo unazipata kwa DEE, huo ujinga wa D mbili mnautoa wapi? Embu soma kitabu kipya cha TCU 2019/20.
elewa TCU watataka point nne kwenye masomo mawili. sasa DEE point nne kwenye masomo mawili zinatoka wapi??

kumbuka A =5 B=4 C=3 D=2 na E =1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…