ingekua rahisi hivyo mbona wengi tinge kuwemo humoNenda jkt baadaye ujiunge na magereza au polisi
Toa ushauri wako acha kukosoa wanaotoa ushauriingekua rahisi hivyo mbona wengi tinge kuwemo humo
Jiajiri mkuu,Nina four ya 28 nimepata alama kama ifuatavyo
Kiswahili C
English D
History D
Geography D
Bible C
civics F
Literature F
Je niende chuo gani au nisomee course gani ndugu zangu nisaidieni nipo dar es salaam