Kozi gani apo naweza ombaKua specific .. ila uwezekano wa kusoma degree upo mkubwa tu mbona, vuta subira utajua mwaka huu mambo yakoje cha msingi uwahi kutuma maombi for the case of competition.
Mbali na educationKozi gani apo naweza omba
Mbali na education
AsanteeZipo nyingi za afya nzuri, jaribu kupitia admission guide books za vyuo kama SUA, UDOM na UDSM utapata nzuri kikubwa kipindi cha kuafanya application uwahi ili kuidhibiti ile compitishen