Mvaa Tai JF-Expert Member Joined Aug 11, 2009 Posts 6,157 Reaction score 4,457 Jul 22, 2011 #1 Niliagiza samaki sato ndoo mbili siku nne zilizopita kutoka mwanza, maeneo yetu ninayoishi tulikatiwa umeme mfululizo siku mbili. Pamoja na kujitahidi kuwakaanga wameoza, je kuna matumizi mbadala ya samaki walio oza?
Niliagiza samaki sato ndoo mbili siku nne zilizopita kutoka mwanza, maeneo yetu ninayoishi tulikatiwa umeme mfululizo siku mbili. Pamoja na kujitahidi kuwakaanga wameoza, je kuna matumizi mbadala ya samaki walio oza?
IGWE JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 9,742 Reaction score 8,187 Jul 22, 2011 #2 wale na familia yako,..........au unasemaje?
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,930 Reaction score 1,162 Jul 22, 2011 #3 Kama bado haujawakaanga unaweza kuwatia chumvi nyingi ili wawe N'gonda na kama umesha wakaanga wapatie paka au mbwa wanaweza kula.
Kama bado haujawakaanga unaweza kuwatia chumvi nyingi ili wawe N'gonda na kama umesha wakaanga wapatie paka au mbwa wanaweza kula.
TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,199 Reaction score 13,029 Jul 22, 2011 #4 Wapake chumvi nyingi kisha uwaanike juani, wakikauka uwasage kisha wafanye chakula cha kuku...