Mm ni kijana nimetokea kumpenda binti nikamweleza haja yangu akanieea tukawa wachumba, baada ya mwezi 1 akanitumia sms anadai ameshindwa kuwa na mm hivyo nichukue time, ila mm nampenda sana na roho inaniuma sana nifanyeje wapendwa
Duuu, umemweleza hisia zako ,akakubali mkawa wachumba!! Hata mwezi haujaisha Mara akasema hakutaki.Ndo maana kakwambia hivo maana amepata mashaka na afya yako ya akili.Hofu yake hata siku ukimpa ujauzito hapo hapo utadai mtoto.
aisee...! unamkubali demu kiasi iko kwa kushare nae mda mfupi hivo ww achana nae kama asemavyo coz ukimlazimisha anaweza kubali na akakuumiza zaidi usifanye moyo wako kuwa mzaifu hivo mcrush tu