Pole Baraka, binafsi nachelea kusadiki kama yeye ni hajakutwa na tatizo. Naomba muambatane wote mkafanye vipimo kwa pamoja. Muendelee kuishi kwa upendo wa dhati icje kuwa anasema mzima kujifariji. MUNGU akutie nguvu.
Umeona eehhhh ndo maana mie nikasema mwongo mkubwa huyo mwanaume hana lolote hata yeye ameshapata tatizo....................
Umeona eehhhh ndo maana mie nikasema mwongo mkubwa huyo mwanaume hana lolote hata yeye ameshapata tatizo....................
My dear sister, mbona wapo ninawajua wanawake wameathirika na wanaume hawajaathirika or lets say virusi havijaonekana na wanaishi??? cases kama hizi zipo....wanaume hawafanani kwenye hili....labda tu tumshauri Baraka wakapime na mumewe ahakiki hali ya mumewe lakini najua kama anampenda atampenda tu hata kwenye hali hiyo!
My dear naongea kwa uzoefu wa kufanya kazi na hao watu na kuishi nao ni ngumu kukubali kirahisi hivyo wapo sikatai lakini he he he unapima unakimbia majibu usifanye mchezo dada hii kitu isikie tu kwenye tv na radio inatisha na kuogopesha sana.
Any way sibishi wala sikatai wapo hao wanaoishi positive na negative tena wengi tu lakini fatilia wengi walivyo si rahisi hivyo ma dear.................
mi binafsi nina maswali mengi kuliko ushauri,
naomba mniwie radhi wana jamvi, pale ninapokuwa nimemu-offend mtu, na si kusudi langu.
Umesema upo kwenye ndoa kwa miaka 13, ila kwa miaka 3 ya hivi karibuni hali yako imezidi kuzorota..
Nilitaka kufahamu ni nani aliyekuambikiza?..Maana kama mume amesema kapima na hajaonekana nao, ninapata wasiwasi na uaminifu kwenye ndoa..
...
Habari wana jamii wote,ni mara yangu ya kwanza kuingia huku kwenye forum hii
Naomba sana mnipe ushauri wenu kwa haya nitakayoyaeleza hapa
Mimi nimeolewa nina miaka 13 katika ndoa, nina mtoto mmoja wa kiume mwenye miaka 12, mume wangu ana mtoto wa kike mwenye miaka 10 aliezaa na mwanamke mwingine.
tatizo langu ni kuwa miaka mitatu iliyopita niligundua kuwa nimeathirika na sasa natumia dawa za kupunguza makali(ARV)
Nilishindwa kumweleza mume wangu kuhusu hali yangu kwa kuwa kila nilipomshauri kuhusu kupima afya alikuwa hataki akidai kuwa siku akigundua kuwa ameathirika atakufa. Ila mimi nilipogundua kuwa nimeathirika nikawa sikubali kufanya mapenzi bila kutumia kinga, ingawa .0oh pole sana fanyeni mpango wa kwenda kwa babu loliondo , baada ya hapo kaaeni mwenzi mmoja mkapime wote tena
Rafiki wa familia mumewe aligundulika na UKIMWI. Mke alipopima mara zote ni negative. Mke anasema hawakuwahi kutumia condom na walikuwa wanakula tunda hata mumewe alipoanza kuugua maradhi ya mwanzo. Alipogundulika anao ndio wakaacha. Alimtunza mumewe kwa kipindi chote cha maradhi hadi alipofariki.
Mke kafariki miaka ishirini baadae kwa malaria kali. Hajawahi kutumia ARVs maana wakati wote alikuwa na negative status.
Nadhani hiki ni kitendawili ambacho mabingwa wa afya na hasa UKIMWI inabidi watueleweshe.
Inakuwaje kwenye mahusiano ya kingono mmoja anaathirika na mwingine haathiriki. Hi ni kwa wale waaminifu kwenye mahusiano yao.