Mother Son Relationship
[TABLE="align: right"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
A mother has undying love for her children. Her presence itself deeply affects the entire life of her little one. Our mother is the first woman in our life and cannot be replaced by anyone. A mother's love always makes her son stronger as well as balanced in his life. While a father makes his son strong enough to fight with the world, it is the mother who teaches him when and where to think from his heart.
The most delicate aspect of mother and son relationship comes, when another woman enters into his life, either as a girlfriend or as a wife. This is the time, when almost every mother starts feeling insecure and becomes apprehensive. From being the only woman in her son's life, she has to share the affection with someone, who is as important in her son's life as she is. This is the time for the son to make his mother understand that she has and will always be the most special person in his life and that someone else can never take her place. On the other hand, a mother should also understand that she has to stop holding on to her son all the time and let go of him.
hope umeelewa
sis kwani huyu dada hadi huyu mama mkwe wake anaona giza amemfanyia nini? na sio huyu tu kiukweli sis achana na mishemishe zangu hapa jf mimi mchumba wangu mama yake alifariki toka 2011 nilikuwa mdogo wala sikuwa najua kama nitakuwa na mtoto wake mana mapenzi nilikuwa sijaanza kiukweli huwa natamani kama angekuwepoNimekuelewa dear.... ila tu mdogo wangu huu ujumbe utakua uliandikwa na mwanamke ambae hakua amewahi zaa... tena mtoto wa kiume... Haelewi the agony of losing a son.... Mwanangu wa kiume bado ni mdogo (7) but still I understand.... Hayo maneno hapo yana ukweli but mtu wa kujishusha kwa mwenzie na Mke wa mwanaume sio mama.... Nimezaa mtoto wangu wa kiume, nimemlea kwa shida baada ya babake kumtelekeza, nimemsomesha kwa vitumbua ambavo naamika kila siku alfajiri kupika ili tua mwanangu asikose ada. Nilipotingwa nimehonga mwili wangu ili mwanagu aweze enda chuo kikuu (for sina msaada).... Baada ya miaka zaidi ya ishirini ya mateso mwanangu kajikomboa sasa maisha mazuri na aweza mudu maisha yake... Ndoto yangu juu yake ya kua na maisha bora imetimia kwa juhudi zangu....
Anakuja binti ambae wamekutana tu juzi kati hapo (tena kavutiwa na hali nzuri ya maisha na mapenzi yenyewe hata si hakika kama ni ya kweli); Huyo mwanamke anakosa busara na kutomkumbusha wala kumshawishi mwanangu nitunza na nipende... How can I let go? a baby I carried for 9 months in my womb? for three year on my back? for all his years on earth in my mind and soul?
Hapo mke ndio inabdi uwe mstaarabu saana na uelewe kua Mama mke ni mtu wakuheshimiwa saana kwa kumweka mumeo alipo na kwa kumuweka dunian. Ni lazima atakua na visa.... Ila at the end of the day uki mignore, ukaonesha ni mtoto mzuri kwake na a good wife to the son... Atakuja tu kukukubali kwa mikono miwili.... Wadada/wamama tunachokosea ni ile hali ya kujipanga kwenda mpiga vita mamamke..... badala ya kujipanga kwenda mpenda mama Mkwe...
For further clarification pitia this thread of mine "LADIES Understand your Mama Mkwe"
teh teh TF nipeleke kwenu bwana sijui maza ataona bahari ya moto ? mama zetu bwanaMimi kuna vitu vingine huwa vinanishangaza sana kama haumpendi mtu kwanini usimwambie straight away "I don't like you and i don't want you to get married to my son" other than beating around the bush with stupid reasons eti "Anaona giza mbele" kwani wewe umekuwa shetani hadi awe anaona giza au wewe umekuwa msukule...ni bora umejua mapema vinginevyo inawezekana huko mbele ungefanyiwa visa zaidi ya hivi....hapo hakuna cha kuona giza, mwanga, mchana, asubuhi wala nini...
Yaani mie mtu akishaanza stori za 'kuonyeshwa' simsikilizi tena! Huyo Mungu wake anamuonesha giza tu la ndoa yenu, hakumuonesha mafuriko akaokoa maisha ya watu 30+? Tena nyie mngefunga ndoa wawili tu na rafiki zenu 2 kama mashahidi, akimaliza kuomba giza likiondoka awafanyie sherehe kubwa muunganishe na ubatizo kama sio other religious rituals!
Haaa haaa,Mimi kuna vitu vingine huwa vinanishangaza sana kama haumpendi mtu kwanini usimwambie straight away "I don't like you and i don't want you to get married to my son" other than beating around the bush with stupid reasons eti "Anaona giza mbele" kwani wewe umekuwa shetani hadi awe anaona giza au wewe umekuwa msukule...ni bora umejua mapema vinginevyo inawezekana huko mbele ungefanyiwa visa zaidi ya hivi....hapo hakuna cha kuona giza, mwanga, mchana, asubuhi wala nini...
heri ya mwaka mpya canta mwenzangu usije pelekwa watu wakaona jehanamu?Haaa haaa,
Nimependa ulichoandika TF.
Nashukuru mwaka nimeuona,vp huko kwenu mmeuona pia?heri ya mwaka mpya canta mwenzangu usije pelekwa watu wakaona jehanamu?
Nina mchumba yapata miaka minne sasa,mwaka huu ndio tulipanga tufunge ndoa.lakini alipokwenda kwao kutoa taarifa kwao wamemkatalia.mama yake amemwambia kwamba kila anapomuomba mungu wake anaona giza mbele hivyo haitaji mwanae anioe mie.na akasema anatupatia miaka mitatu hiyo ndoa itakuwa imeshavunjika.kutokana na msimamo alioonesha mchumba wangu kwa wazazi wake nimeamua tufunge ndoa lakini nikifikiria upande wa wazazi wake napata hofu.nifanyaje wapendwa?karibuni kwa maoni.
olewa olewa olewa
eva/hawa was the luckiest woman; she had no mother-in-law."And all the people shall say, Amen."