Naomba ushauri wenu kuhusu Chuo cha St. Joseph

Nadhani hiki chuo nacho kitafutwa muda si mrefu

Km kweli tunataka kutoa elimu bora na wataalamu bora

Anyway wenye chuo mnaweza msinielewe ila nilishawahi kusoma st Joseph aka st JoJo najua A to Z ya tabia ya wahindi

Km tuna kitu hawatakaa wakisahau ni sisi 500+ tuliokuwa tukisoma st Joseph ya arusha

Tuligoma hadi ikafikia tukafukuzwa tukidai curriculum,prospectus and qualified lecturers.

Baada ya kukua mtaani kwa miezi takiribani Tisa setkali ya JPM ilitsmbua mchango wetu na kuvifuta vyuo hivi vishiriki vya st Joseph arusha na songea.Na kuamua kuturudisha sisi 500+ vyuo na kuendelea kutupatia mkopo km ilivyokuwa awali.

Hivyo naamini km serkali itaamua kupunguza vyuo vikuu bas hicho chenu hakiponi kamwe.
 
Alama D mbna ni kubwa sana kwa comb za sayansi. naungana na wadau kuwa hyo dogo abananishwe au wewe mwenyewe fika chuon, upate taarifa za kweli.
 
Nadhani hiki chuo nacho kitafutwa muda si mrefu

Km kweli tunataka kutoa elimu bora na wataalamu bora

Anyway wenye chuo mnaweza msinielewe ila nilishawahi kusoma st Joseph aka st JoJo najua A to Z ya tabia ya wahindi

Km tuna kitu hawatakaa wakisahau ni sisi 500+ tuliokuwa tukisoma st Joseph ya arusha

Tuligoma hadi ikafikia tukafukuzwa tukidai curriculum,prospectus and qualified lecturers.

Baada ya kukua mtaani kwa miezi takiribani Tisa setkali ya JPM ilitsmbua mchango wetu na kuvifuta vyuo hivi vishiriki vya st Joseph arusha na songea.Na kuamua kuturudisha sisi 500+ vyuo na kuendelea kutupatia mkopo km ilivyokuwa awali.

Hivyo naamini km serkali itaamua kupunguza vyuo vikuu bas hicho chenu hakiponi kamwe.
We bifu lako na St.Jojo litunze tu na izo hisia zako za chuo kufutwa ni bora ukahisi umebet kwa mhind ukampiga.We kusoma arusha ndo unataka kusema unaijua st.Joseph A to Z....Sasa hapa wanaongelea medicine wat do u know bout sjchs maana ushasema unajua vyote?Ungeelezea tu matatizo yenu na sio kuunganisha colleges zote as if ulipitia kote huko.
 
Back
Top Bottom