Ukikiona hivyo ujue alishatendwa xx mpk akakosa imani kuwa kweny mahusiano... Xx hapo ameingia kwny mahusiano na ww ndy kama hivy anajitahidi kuwa makini ktk kukufuatilia kwmb yasije kutokea kama ya mwanzo.. we kama uko serious na huyo dada zungumza naye.. mueleze wazi kwmb hulipendi jambo hilo kwasababu ww umempenda yy tu na kwmb huwezi kumcheat.. na umuonyeshe matendo/upendo ambao utamfany yy akuamini.. basi hapo lzm atakaa sawa.. ila hapo ujue kbs kwmb mwenzio alishakataga tamaa sema tu ndy ameamua kujaribu kuingia tena kwny mahusiano.