kuna msichana mmoja she is my best friend, ila nimeanza kumpenda kutokana na tabia pamoja na uzuri wake ,tumefahamiana ni zaidi ya mwaka ,ila kumueleza hisia zangu kwake nimeshindwa kabisa ,nimeamua kuja kwenu wana jf nifanyeje?
Mnywee tu huyooo utoe 'soni' kwani naliona kama ndo tatizo lakoπ. Halafu anza 'kutapika' sera zako kwa uwazi na ukweli..lol Wee una tatizika hapo lakini kazi yenyewe yaweza kuwa nyepesi dezaini kama ya kumsukuma mleviπ.
Hivyo Ikiitika Bingo!. Na akitoa nje singizia kuwa jana maji yalikuzidi kimo na jifanye unailaani 'Chupa' kwa nguvu zoteπ Maisha yataendelea lakini message sentπ na yeye pia lazima apate 'nightmares' tu juu yako...Na akikutazama atakuwa hakumalizi shujaa weweπ