Dijovisonjn
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 470
- 125
Mawasiliano hurudisha hisia za mapenzi jitahidi kuwa unamtumia sms na kumpigia mara kwa mara
Gonga mzigo then ndo utajua unampenda kweli au una buy time tu na mtoto wawatu
dalili za kumchoka, hebu funga nae ndoa ASAP, miaka 7 mnasubiri nini?
chukua ushauri wa the secretary kama ulivoMawasiliano hurudisha hisia za mapenzi jitahidi kuwa unamtumia sms na kumpigia mara kwa mara
we ndio umempa ukweli mwache achezee shilling ktk tundu la choohujampenda huyo......ulimtamani na unapomuona unamtamani tu....................
Ila wanasema 'you don't know what u've got untill its gone'........wakikuzidi kete ndo utajua kama ulimpenda au la.....
dalili za kumchoka, hebu funga nae ndoa ASAP, miaka 7 mnasubiri nini?
mbona hiyo tayari!
ongeza mawasiliano bro,mimi mwenyewe situation km iyo ishanikuta mpaka nikaamua kuachana na mpenz wng niliekua nae ktk relation for 5 yrs ila baada ya kama miez 8 ivi kupita mwenyewe nikapiga goti,saivi niko kwenye process za kumweka ndani kabisa,so iyo situation ni normal na inaweza mkumba mtu yeyote.
dalili za kumchoka, hebu funga nae ndoa ASAP, miaka 7 mnasubiri nini?