Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Habari za saa hii. Kila hadithi au kisa kinapande mbili za maelezo huyo dada kasema yake lakini mkeo ujafahamu yake pia.
Kikubwa kama alivyokuambia huyo dada wewe usizidishe wala kupunguza muite wife kwa upole ambao hajawahi ona kwako kisha msimulie najua yeye atakuwa anamengi ya kusema kama uwongo au ukweli hilo anajua yeye ila tu wewe uwe jasiri usipayuke kisha umwachie yeye atatoa jibu
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
NIkaribie wapi tena Passion Lady?
Usiwe na papara, usimchukie Mkeo, na wala usivuruge amani ya nyumba yako. Mwanaume ameumbwa akawekewa koromeo, Mungu alikuwa na maksudi yake kwamba hicho ni kizibo yaingiayo ndani yasitoke, so weka moyoni na anza uchunguzi wa kina kuhusu nyendo za mkeo. kama ni kweli utabaini na kama si kweli pia utabaini ukishapata majibu yaliyo sahihi halafu Tafakari chukua hatua.
N;B ANGALIA HATUA UTAKAYOCHUKUA HAITAHATHIRI FAMILIA NA WEWE MWENYEWE KWA UJUMLA.
ukitaka kufanikiwa kitu usiwe na papara, lazima uwe na subira, na umuombe sana Mungu akuondoshee maumivu ya Moyo , na akupe hekima ili uweze kulikabili jambo kama hilo. Mimi niliambiwa Mr wangu ana mwanamke na wamezaa, basi sikuwa na papara, nilimtafuta mpk nikampata, nikahakikisha nimemchukua mtoto, Mr anarudi home anamkuta yule mtoto yupo home anacheza nawenzie, kidogo azimie, alishindwa kuuliza wala kusema chochote akaishia kubwaga mizigo na kuondoka, mm sijui alienda wapi aliporudi akataka kuanza kunihadithia nikamkatiza kuwa sitaki maelezo. mpk leo namlea mm na kama atakwenda tena nitaomba talaka. maana ujinga wakati wa kwenda tu kurudi huulizi njia.ni kweli kabisa Lisa kwasababu ni taarifa za kuletewa hatakiwi kuchukua maamuzi ya haraka, afanye uchunguzi kwanza ili aweze kubaini ukweli wa taarifa hiyo.
ukitaka kufanikiwa kitu usiwe na papara, lazima uwe na subira, na umuombe sana Mungu akuondoshee maumivu ya Moyo , na akupe hekima ili uweze kulikabili jambo kama hilo. Mimi niliambiwa Mr wangu ana mwanamke na wamezaa, basi sikuwa na papara, nilimtafuta mpk nikampata, nikahakikisha nimemchukua mtoto, Mr anarudi home anamkuta yule mtoto yupo home anacheza nawenzie, kidogo azimie, alishindwa kuuliza wala kusema chochote akaishia kubwaga mizigo na kuondoka, mm sijui alienda wapi aliporudi akataka kuanza kunihadithia nikamkatiza kuwa sitaki maelezo. mpk leo namlea mm na kama atakwenda tena nitaomba talaka. maana ujinga wakati wa kwenda tu kurudi huulizi njia.
we ishi tu maisha ya wenzio!"Nikiona mwenzangu anaibiwa nahisi kama naibiwa mimi, so miaka kadhaa ijayo ndo mniulize ntaoa lini..."