Edmund N Abel
Member
- Dec 14, 2012
- 20
- 2
Nilikuwa na mchumba ambae tulipendana.pindi nimechaguliwa chuoni 2012 akadai kuwa ange nisubiria lakini nilipo rudi rikizo nilikuta wametoa mahari sabab et kashawishiwa na dada ake ,na hivi sasa ashaolewa. Anadai tuendeleze mapenzi ya kisiri et bado ananipenda je nile mzigo.

andika vizuri kisha uje tutakusaidia mi nachukia kusoma maandishi na uandishi mbaya kama wako:angry::angry::confused3::confused3::redfaces::redfaces::A S 20::A S 20::A S 20::A S-frusty::A S-frusty::A S-frusty::A S-frusty::A S angry::A S angry:Nilikuwa na mchumba ambae tulipendana.pindi nimechaguliwa chuoni 2012 akadai kuwa ange nisubiria lakini nilipo rudi rikizo nilikuta wametoa mahari sabab et kashawishiwa na dada ake ,na hivi sasa ashaolewa. Anadai tuendeleze mapenzi ya kisiri et bado ananipenda je nile mzigo.
Hiko Chuo ulichoenda kilikuwa ni Chuo cha Kukata tiketi kwenye mabasi (Kondakta - 1st Diploma) !!???? Muandiko wako ndio unasibitisha Hilo mkuu Edmund.Nilikuwa na mchumba ambae tulipendana.pindi nimechaguliwa chuoni 2012 akadai kuwa ange nisubiria lakini nilipo rudi rikizo nilikuta wametoa mahari sabab et kashawishiwa na dada ake ,na hivi sasa ashaolewa. Anadai tuendeleze mapenzi ya kisiri et bado ananipenda je nile mzigo.
​CC Erickb52!!!
mgegede tuu na kabang mle
::
Kila mmoja ana dhamira ambayo humhukumu au kumpongeza kwa atendalo.
Fanya kadri ya hasara au faida ya mwili wako
=