IrDA JF-Expert Member Joined Aug 26, 2010 Posts 745 Reaction score 361 Sep 29, 2012 #1 Wakuu nahitaji kununua modem ya bei nafuu ambayo iko unlocked kutumia mitandao yote au inayowezekana kuwa unlocked kwa kutumia unlock code.Je ninunue aina gani ya modem na nitaipata wapi?
Wakuu nahitaji kununua modem ya bei nafuu ambayo iko unlocked kutumia mitandao yote au inayowezekana kuwa unlocked kwa kutumia unlock code.Je ninunue aina gani ya modem na nitaipata wapi?
Shaffin Simbamwene JF-Expert Member Joined Nov 16, 2008 Posts 2,156 Reaction score 1,539 Sep 30, 2012 #2 Tafuta E173 ya vodacom. Kama upo Dar nenda vodashop uhuru pale kariakoo utapata mkuu