Brother: SOMA KWA MAKINI HAPA:
unadanganywa unapoambiwa " elimu ni ufunguo wa maisha" kuna mambo mengi ya kufanya. binafi nimemaliza form six mwaka huu na nilisoma HGL nikatoka na division 2. Ila nkaangalia mbele zaidi nkaona nikienda university nitajipotezea mda. Nimeamua kuwa mkulima. mwezi uliopita nimeanza kufuga kuku na nlianza na kuku 52 na wengi wao wameanza kutaga sasa na nnatarajia kulima mahindi heka 5 kwa kuanza but miaka ijayo natarajia kulima hadi heka 100 na kufuga kuku 1000 n.k. ofoz huwa najutia mda nlioutumia shuleni for no any valid bnft... Nakushangaa unapotaka kurudi huko. sijui lakini wewe unawaza nini.KAMA MNATAKA MALI MTAIPATA SHAMBANI