Naomba ushauri wa kupunguza uume wangu

Kijana Jr

JF-Expert Member
May 12, 2016
560
843
Nataka kujua namna ya kupunguza size ya uume
wangu maana umekua ni shiida kwa mke wangu mtarajiwa maana tukifanya sex anasema namuumiza sana wala hafurahii ??
 
Kuumia kwa mkeo mtarajiwa hakutoshi kusema kuwa una uume mkubwa. Pima urefu na upana. Pia kuumia kwa mkeo ana njia ndogo mno. Wapo wanawake wa aina hiyo. Cha kufanaya ni kumuandaa vya kutosha.
 
Nataka kujua namna ya kupunguza size ya uume
wangu maana umekua ni shiida kwa mke wangu mtarajiwa maana tukifanya sex anasema namuumiza sana wala hafurahii ??
Njoo Tanga wiki tu utakuwa mdogo teletepe, ila tu ukubali masharti bila ya ubishi. La sivyo utaondolewa kabisa.
 
Back
Top Bottom