Anselem mathew
Senior Member
- May 17, 2017
- 107
- 66
Jaman habarini za kazi nilikuwa naomba ushaur wenu Wa mawazo juu ya kujiendeleza kimasomo juu ya kozi ya uuguzi kwa lever ya degree hivi kuna uwezekano Wa kusoma faculty nyingne ila ya afya hiyo hiyo kama MD pharmacy ila Nina diploma ya nursing au haiwezekan na je vipi kuhusu majukumu ya nursing degree wanafanya surgery au inakuaje
hahaha 🙂🙂🙂 manesi wa mwendo kasi hawa...Yaani wewe ni nurse diploma hujui unaweza kusoma vitu gani kuendelea?
Unauliza kama nesi anaweza kufanya surgery really? Halafu wewe ni diploma holder wa nursing?
Hebu kuwa mkweli mkuu ndo kwanza unataka ukasome hiyo diploma au ushasoma tayari.
Huyo jamaa kanishinda tabia bora hata ww umemwambia.Yaani wewe ni nurse diploma hujui unaweza kusoma vitu gani kuendelea?
Unauliza kama nesi anaweza kufanya surgery really? Halafu wewe ni diploma holder wa nursing?
Hebu kuwa mkweli mkuu ndo kwanza unataka ukasome hiyo diploma au ushasoma tayari.
Ndio nataka nikasome hiyo diploma but nilikuwa nauliza tu kuhusu kusonga mbele juu ya nursing katika elimu ya juuYaani wewe ni nurse diploma hujui unaweza kusoma vitu gani kuendelea?
Unauliza kama nesi anaweza kufanya surgery really? Halafu wewe ni diploma holder wa nursing?
Hebu kuwa mkweli mkuu ndo kwanza unataka ukasome hiyo diploma au ushasoma tayari.
sio tabia napenda tu kufaham kama mambo yanawezekana au vepe
Nursing sio faculty of medicine, nursing inajitegemea, huwezi kuwa daktari kwa kutumia cheti cha nursing, kama unataka kuwa daktari tumia cheti chako cha form six kufanya application ukasome medicine ili uwe MD,
Wewe ni mwanafunzi wa uuguzi , maswali kama haya hayawezi kuulizwa na nurse mwenye stashahada,
Maisha bado hayajakupiga kisawa sawa ndio maana unahangaika na status,
Unataka kufakamia kitu usichokijua vizuri,
Kwa vile umejiunga jamii forum utanielewa siku si nyingi, udaktari siku hizi ni kama ualimu wa arts ajira hamna,
maisha ni akili, shikiria taaluma ya uuguzi, hii ni awamu ya tano, shauri yako.
_ where ever you are remember me_
[/Asant mkuu nimekuelewa aiseee
Mh bora nimepita huku nimeelewa hata siendi tena shule nilichokipata form four kinisaidie tu kupanga vitu kichwani nisilale njaaNursing sio faculty of medicine, nursing inajitegemea, huwezi kuwa daktari kwa kutumia cheti cha nursing, kama unataka kuwa daktari tumia cheti chako cha form six kufanya application ukasome medicine ili uwe MD,
Wewe ni mwanafunzi wa uuguzi , maswali kama haya hayawezi kuulizwa na nurse mwenye stashahada,
Maisha bado hayajakupiga kisawa sawa ndio maana unahangaika na status,
Unataka kufakamia kitu usichokijua vizuri,
Kwa vile umejiunga jamii forum utanielewa siku si nyingi, udaktari siku hizi ni kama ualimu wa arts ajira hamna,
maisha ni akili, shikiria taaluma ya uuguzi, hii ni awamu ya tano, shauri yako.
_ where ever you are remember me_
Nenda shule kijana, usiogope mbona watu sasa hivi wanaongeza elimuMh bora nimepita huku nimeelewa hata siendi tena shule nilichokipata form four kinisaidie tu kupanga vitu kichwani nisilale njaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah wasomi wanakatisha tamaa sana yani sio ajira sio mkopo sio mazingira yani vyote xhda tuNenda shule kijana, usiogope mbona watu sasa hivi wanaongeza elimu
nenda ase shule mengine utajua mbele kwa mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
unajuaje kama na mimi sio msomi, hebu acha fikra mbovu nenda shuleDah wasomi wanakatisha tamaa sana yani sio ajira sio mkopo sio mazingira yani vyote xhda tu
Sent using Jamii Forums mobile app