Tzgreatthinker
New Member
- Jun 28, 2018
- 2
- 0
Habarini za jioni ndugu zangu mimi ni kijana wa miaka 22 nimesoma mpaka elimu ya chuo ila sijapata kazi nimejichanga kwa sasa nina kiasi cha milioni moja naombeni ushauri wa kibiashara maana nimechoka kuwaza peke yangu. NAOMBA KUWASILISHA