D danford83 Member Joined Oct 2, 2020 Posts 7 Reaction score 6 Oct 21, 2020 #1 Habari, Je ni course gani ya Veta ambayo ungemshauri kijana akasome Veta itakayomwezesha kujiajiri au kuajiriwa?
Habari, Je ni course gani ya Veta ambayo ungemshauri kijana akasome Veta itakayomwezesha kujiajiri au kuajiriwa?
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,633 Oct 21, 2020 #2 Umeme wa magari naiona ina fursa nyingi ya kuajiriwa ama kujiajiri sababu sasa hivi gari nyingi ni za Automatiki. Kwahiyo fursa hiyo kwa vijana
Umeme wa magari naiona ina fursa nyingi ya kuajiriwa ama kujiajiri sababu sasa hivi gari nyingi ni za Automatiki. Kwahiyo fursa hiyo kwa vijana
DA HUSTLA JF-Expert Member Joined Mar 5, 2012 Posts 3,930 Reaction score 4,280 Oct 22, 2020 #3 Hajto said: Umeme wa magari naiona ina fursa nyingi ya kuajiriwa ama kujiajiri sababu sasa hivi gari nyingi ni za Automatiki. Kwahiyo fursa hiyo kwa vijana Click to expand... Hii kozi naielewa sana,sema miaka miwili na haya majukumu daah
Hajto said: Umeme wa magari naiona ina fursa nyingi ya kuajiriwa ama kujiajiri sababu sasa hivi gari nyingi ni za Automatiki. Kwahiyo fursa hiyo kwa vijana Click to expand... Hii kozi naielewa sana,sema miaka miwili na haya majukumu daah
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,633 Oct 23, 2020 #4 DA HUSTLA said: Hii kozi naielewa sana,sema miaka miwili na haya majukumu daah Click to expand... Unaweza ukasoma hata masomo ya jioni
DA HUSTLA said: Hii kozi naielewa sana,sema miaka miwili na haya majukumu daah Click to expand... Unaweza ukasoma hata masomo ya jioni
euca JF-Expert Member Joined Apr 6, 2015 Posts 3,945 Reaction score 4,384 Nov 8, 2020 #5 Hajto said: Unaweza ukasoma hata masomo ya jioni Click to expand... Hivi VETA wana masomo ya jioni?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,396 Reaction score 195,230 Nov 8, 2020 #6 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: mahondaw
Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,893 Reaction score 5,082 Nov 10, 2020 #7 Nenda kasome drafting and mason 3yrs duration au welding hutakaa mtaani kuanza Julia lia ili uajiriwe We are still building all over the world
Nenda kasome drafting and mason 3yrs duration au welding hutakaa mtaani kuanza Julia lia ili uajiriwe We are still building all over the world