Je unauzoefu wa biashara hiyo mkuu?Kama unaweza tafuta farm plot hata ekari 2 au Tatu fuga mbuzi za kisasa cross breed
Kama utapata Boer au Kalahari na kondoo wakubwa
Hapo utajiongeza taratibu kwa kuweka kuku, na hata majani kwa ajili ya mifugo na taratibu utachimba bwawa kwa ajili ya samaki
Biashara hii inakuwa polepole kulingana na wewe mwenyewe ila ni endelevu
Tafuta mganga wa mifugo kama partner wako au mlipe hela nzuri na awe na ukaribu nao sana kama ndugu zake [emoji1] [emoji1787]
Kwa 10m unaweza kuanza vizuri tu
Ila kama unawaza 10m izae 10m kwa mwezi watakushauri wa betting
Nenda mbangala tafuta mahali uswahilini huko, weka mashine ya kukoboa na kusaga unga- sanga unga pakia kwa vifungashio uzia raia.
Kama ujui biashara wala jambo la kufanya tuliza tu pesa utapata wazo huko mbeleni.endelea na kazi zengine ambazo zimekufikishia hiyo pesaKwema wana jamvi? Kama kichwa cha mada kinavojieleza naomba ushauri wa buashara kwa mtaji wa Mil 10.
Kuna biashara nilikua nafanya,nilikua napata faida nzuti na mtaji kukua sana ila baadae ikawa inakata tu hela.
Nimejitahidi sana kukaza naona pesa inazidi kukata kwahyo nimeamua kuacha kabisa nifikirie biashara mpya nahisi hiyo biashara imeamua kunikataa tu.
Je, ni biashara gani nzuri naweza kufanya kwa mtaji wa 10MIL ?ila tu isiwe biashara ya bodaboda, biashara ya miamala (uwakala), au kununua chombo cha moto kufanyia biashara.
Wale watu wa masihara, kejeli na wengineo wa aina hiyo tafadhali unaweza kupotezea bila kuchangia chochote ili tusiharibiane siku
Ushauri wako ni muhimu [emoji120]
Nimezaliwa kwenye ufugaji ila wa kizamaniJe unauzoefu wa biashara hiyo mkuu?
Hii nimeichukua!Kama unaweza tafuta farm plot hata ekari 2 au Tatu fuga mbuzi za kisasa cross breed
Kama utapata Boer au Kalahari na kondoo wakubwa
Hapo utajiongeza taratibu kwa kuweka kuku, na hata majani kwa ajili ya mifugo na taratibu utachimba bwawa kwa ajili ya samaki
Biashara hii inakuwa polepole kulingana na wewe mwenyewe ila ni endelevu
Tafuta mganga wa mifugo kama partner wako au mlipe hela nzuri na awe na ukaribu nao sana kama ndugu zake [emoji1] [emoji1787]
Kwa 10m unaweza kuanza vizuri tu
Ila kama unawaza 10m izae 10m kwa mwezi watakushauri wa betting
Na hutajuta
Sawa ni ndogo ila nimesema kama hauna ushauri au ww ni mtu wa kejeli kausha. kwann uje kunikwaza? Kwahyo unataka ni kutusi?