Ngoja wajuvi waje.ila pia unaweza jaribu kupitia nyumba kwa nyumba ukiuliza kam wanavitabu walivyosomaga na hawavisomi tena,,,,mf mi vitabu vyangu hard copy vyote niliuza baada ya kupata softcopy yake niliwauzia wale wauzaj wa madukani, kwasasa nimebaki navyo viwili Think Big cha Ben carson na Unanswered cries navitaftia wateja tena.