Kwenye yard zinaanzia 9m sasa hv. Lakini kwenye yard usisahai kuna magari ya mafuriko kaka, uwe mwangalifuVip bei ya ist(2005) kwenye yard dar ni tsh ngapi?
Kwenye yard zinaanzia 9m sasa hv. Lakini kwenye yard usisahai kuna magari ya mafuriko kaka, uwe mwangalifu
Kaka, umesahau hv juzi kati Japan ilikumbwa na mafuriko makubwa na kufanya majengo na viwanda na yard zao kusombwa na mafuriko hayo. Sasa magar yaliyokumbwa na mafuriko hayo yalikarabatiwa na kuuzwa mpaka dola 450, bongo magari hayo yamejaa tele kwenye yard. IST kuuzwa 5m, 9m, 12m au hata 20m hiyo ni biashara, ukifika bei unachukua, ukiwa mjanja utahoji. IST mkononi hadi 5m unapataMagari ya mafuriko ndio yapi? Na je ni sawa ist(2005) ambayo ndio imetoka bandarini haijaendeshwa bongo kuuziwa mil 12?
Ndoa ya kikatoliki haifunguki/haivunjiki. Kuna magari ukishanunua haliuziki tena, utakufa nalokaka Mwanafyale kuna maneno hapo umeniacha njia panda "ndoa ya kikatoliki" na ''magari ya mafuriko'' naomba kidogo ufafanuzi kidogo hata nami ikifika wakati wa kununua gari nipate kuelewa
Ahsante
Wakuu naomba mnisaidie ushauri kuhusu gari ist na golf zote za 2005 ili kukwepa dumping fees, naipenda golf kwa muonekano wako lakini je ni gari ambayo nikitaka kuja kuuza itauzika? Na upatikanaji wake wa spare upo?
Toyota ist je ni gari sumbufu? Kama tukiweka golf vs ist huku kichwani tukiwaza uuzikaji, upatikanaji wa spare, muonekano, ubora wa gari je ipi itaibuka mshindi? Natanguliza shukrani Wakuu.