Donyongijape
JF-Expert Member
- May 28, 2010
- 1,497
- 815
Asante sana mkuu. Umenitoa tongotongo kwa utofauti huu.CAMI na VITZ bei zake ni tofauti. CAMI iko juu kwani hii ni SUV kwamba unaweza kuitumia hata kwenye barabara zetu za kibongo zenye mahandaki tofauti na VITZ.
Mimi ningekushauri kama budget yako inakurusuhu chaguo lako liwe CAMI, ukipata CAMi ambayo ni 4wd its well and good. otherwise spares zipo mitaani zinapatikana bila usumbufu.
Kwa show room za kibongo sijui ni wapi lakini kama unasubira ni vema kuagiza moja kwa moja japan. itachukua muda lakini utasave angalau mil hata 2 tofauti na ungenunua hapa bongo.
Siku hizi spea za magari kama Suzuki na Nissan sio shida tena kama ilivyo kuwa zamani kwamba mpaka uagize Nairobi. Cami ni 4WD na spea zipo lakini sio imara maana nyingi zinachakachuliwa kwa kuwa zinaingilina na aina nyingine za Toyota nyingine. Suzuki Swift nazo zipo 4WD ingawa sio nyingi, spea zipo lakini bei juu, ila ni imara unadumu nayo. Mimi nina Swift nadunda kama kawaida. Ujue kwamba watu wanapenda magari ya Toyota kwa sababu spea zake ni bei rahisi lakini ni zinachakachuliwa na ni feki na ndio maana utaona kwamba zinaingiliana, kwa mfano Oil ceal ya Toyota unaweza pata kwa 5,000/= unakaa nayo wiki moja, tofauti na Nissan au Suzuki ambayo ni 35,000/= lakini unasahau. Chagua baina ya Toyota Cam na Suzuki Swif, achana na Vitz.
chukua prado wewe achana na vigari vya watoto ivo...au kamata v8
asante swabaho..nimekuwa discouraged sana na magari ya suzuki na jamaa kadhaa niliowauliza. Nachukua ushauri wako katika kufanya maamuzi yangu. Shukrani
chukua prado wewe achana na vigari vya watoto ivo...au kamata v8
chukua prado wewe achana na vigari vya watoto ivo...au kamata v8