kibaigwajf
Senior Member
- Dec 7, 2017
- 141
- 236
Ndugu zangu kama mada inavyojieleza hapo juu, Mi nimeoa nina watoto pia, kama mwezi sasa tokea mke wangu amesafiri kwenda kusafiri kijijini nimekuwa napiga punyeto masaa24 /7 yote hiyo ni sababu naopoga ngoma maana mademu wapo ila mwenzenu nikiingia kwenye shoo uwa sijui kondomu, sasa kujizuia na mkombozi wangu ni punyeto 24 hours, leo nimepiga x3 kwa siku, asubuhi saa sita na jioni, hii niliyopiga jioni hata shahawa hazikutoka inaonekana korodani zimekauka, msaada jamani nakufa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app