Jamani nimepata offer kutoka mashirika mawili ya Technoserve na Agkhani katika nafasi Project manager katika miradi ya kilimo na ufugaji.Basic salary inakaribiana sana (kati 8 M-9M),ila maengineyo wanasema itaakuwa kwenye HR manual ambayo ninaweza kuisoma siku nikikubali na kuriport kazini. Je wazoefu wa haya mashirika mawilinaomba mnipe ushauri?
Asanteni sana
Asanteni sana