baraka boki
Senior Member
- Sep 20, 2010
- 181
- 80
Hivi kwani Dar kuna fukwe mpya...fukwe ni zile zile banaaa...
Kama unataka kula bata ya fukwe nzuri nenda White Sands...walau maji yake na mchanga wake na mandhari yake ni ya kistaarabu.
Kama vipi lipia boti uende Mbudya ukachezee maji ya kisiwani...
Yaani hii mbudya imekuwa uwimbo wa taifa...itabid nikakushangae
Unishangae kwa lipi?
Koko bichi. The best things in life ni bureeeee
Reread please...nikakushangae uko..sio weye......au kuna vivutio kwako???
Hahah upo faster lol...nilishaedit sorry!!!
Habari za asubuhi wadau
Kuna msichana ambaye ni rafiki yangu wa karibu ameniomba nimtoe out leo maeneo ya ufukwe na mimi sehemu nilizozoea ni white sand hotel , jangwani sea breeze na kunduchi wet'n world .Naomba experience yenu wadau ya ufukwe mpya ambapo naweza kumpeleka na hiyo sehemu kuwe na swimming pool .Nangoja ushauri wenu wadau
Teh...never mind
Reread please...nikakushangae uko..sio weye......au kuna vivutio kwako???
haha! Mkuu anavivutio vyote huyo milima mirefu,uoto wa asili,mbuga za wanyama,baharis, yaani yani we endelea kumshangaa tu haki ya nani utaona maajabu yake! Haha! Nasepa..
Hahahah...wasalimie pande hiyo!!!
Nenda South Beach Kigamboni. Kuna swimming pool na fukwe yake ni safi sanaHabari za asubuhi wadau
Kuna msichana ambaye ni rafiki yangu wa karibu ameniomba nimtoe out leo maeneo ya ufukwe na mimi sehemu nilizozoea ni white sand hotel , jangwani sea breeze na kunduchi wet'n world .Naomba experience yenu wadau ya ufukwe mpya ambapo naweza kumpeleka na hiyo sehemu kuwe na swimming pool .Nangoja ushauri wenu wadau
Habari za asubuhi wadau
Kuna msichana ambaye ni rafiki yangu wa karibu ameniomba nimtoe out leo maeneo ya ufukwe na mimi sehemu nilizozoea ni white sand hotel , jangwani sea breeze na kunduchi wet'n world .Naomba experience yenu wadau ya ufukwe mpya ambapo naweza kumpeleka na hiyo sehemu kuwe na swimming pool .Nangoja ushauri wenu wadau
Ni sehemu yenye mandhari nzuri, mchanga na maji safi...
Pia si rahisi kukutana na kuku wa kienyeji kama ilivyo Coco au baadhi ya beaches za Jangwani au Kigamboni ...