Naomba ushauri, nimeamua kufanya kilimo kama ajira

Mkuu umenitoa ktk usingizi aisee ata mm natamani nikapambane ktk kilimo ila bado sijapata chanel nzuri vipi tunaweza kuungana ktk harakati izoo
 
Nmependa uchanganuzi wako japo shamba lina maajabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilimo ni kizuri japo wengi wanaogopa, kama umeamua kuifanya ajira ya kudumu umechagua jambo jema !!
Muhimu uwepo mwenyewe kwenye Field. Sio kuagiza
Changamoto zipo kwa kila kazi ! Na vizuri kuanza kidogo kidogo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Us Unalima mkoa gani??
 
Ushauri wangu kama upo nyanda za juu kusini Iringa in particular usiache kulima mahindi ya kuchoma ali maarufu Gobo, haya hayana hasara kabisa yatakusaidia kukupa fedha za uendeshaji kwenye mazao yenye risk kubw Kama nyanya na vitunguu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Idea Pia Inatufaa Sana Wafanyakazi Wa Serikalini Tunaoishi Vijijini, Maisha Yanakuwa Rahisi Kabisa! Wazo Mujaraab Kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…