Naomba ushauri nifanyeje

Eee mgegedwaji we kibokoo

lazima uwe kiboko...demu analiwa na kidume alafu anakuja niambia i love u...loh mie hapo hapo namgeuza na kumfumua marinda...ikiwezekana na kigogo namwambia ebwana eeh ube njoo tumsasambue huyu mrembo kwa pamoja maana anapenda megegedo yetu yote
 

Uliambiwa kuwekwa.dp.watsapp na isnta ndo kupendwa ahhahha stuka kijana hata kama ipo siku maisha yatamwelemea je atatafta mwingine sasa ushaujua kweli wat next kama huyu baba ameweza kumsaidia na kulala nae atashindwa vip kwa mwengine hapa naona hebu rud geto kwako ukafikiri.zaidi.kabla.hujachukua maamuz pima maj na.unga kipi kimemzidi mwenzie utapata jibu sasa alikua huambii anasubir nin japo kajistste ukweli ila naontaa nyekundu inawaka kwa huyo.gal
 
siku zote prefer gesti na hoteli.....kulala vitanda ambavyo hujatoa pesda kununua kunaweza kukuletea hatari kubwa
unaweza poteza maisha.......

cha kwanza hama hama hapo na usirudi tena....hata ukiendelea na huyo msichana hapo usikanyage
huu ushauri umejitosheleza na kama Meeks haelewi basi itakuwa hadithi hii, mwanamke anakufanyia hivyo na anadiriki kukuambia waziwazi na wala hawajaachana bado ndio anaweza kuwa anajutia ila angetubu baada ya kuachana na huyo mzee...inapofika maswala ya hela za watu wameinvest kwa miaka kuwa makini na uhai wako ni muhimu.
 
Last edited by a moderator:
kama kakuambia hayo bila shaka alikua na malengo na yametimia, aachane nae huyo mzee abaki na wewe, kama ana nia ataweza kusurvive nawe maisha ya chuo, kwani na we ulikua unategemea hela zake, hizo zakwako mtagawana , shule ishaisha, msoto kitaa kawaida mtatoka with time, ukiona amekua mgumu kumuachia jizee , as long as upo fit kiafya mtakie maisha ayapendayo tafuta yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…