Mshukur mung san kw kukup furs kma hiyo kwan weng hawaipat.....il kikubw m nhc inategemean n wew bnfc un interest n kitu gan n ni kip unhc ukifny unawez ukapiga htua mbele....ckatai unaomb ushauri ni jmbo zur pia ila binfc ukiachn n maamuz y wat wew mwenyw pia untkiw uwe n maamuz yko.