M ma ndizi Member Joined Oct 7, 2023 Posts 5 Reaction score 4 Jan 13, 2024 #1 Habari za jioni wana-JF, Natamani kufungua duka la vitambaa lakn changamoto ni kwamba sijajua wapi naweza pata vitambaa kwa bei ya jumla. Na mtaji wa 5M naweza kufungua biashara hiyo?
Habari za jioni wana-JF, Natamani kufungua duka la vitambaa lakn changamoto ni kwamba sijajua wapi naweza pata vitambaa kwa bei ya jumla. Na mtaji wa 5M naweza kufungua biashara hiyo?
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 21,577 Reaction score 46,730 Jan 13, 2024 #2 Una uzoefu na hiyo biashara, sijawahi kuifanya ila nahisi ina ujanja mwingi. Nakushauri uingie field kwa kuuza duka la mtu au kufundishwa na mtu aneifanya hiyo biashara.
Una uzoefu na hiyo biashara, sijawahi kuifanya ila nahisi ina ujanja mwingi. Nakushauri uingie field kwa kuuza duka la mtu au kufundishwa na mtu aneifanya hiyo biashara.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,127 Reaction score 22,183 Jan 14, 2024 #3 Ofisi mkoa Gani? Tuanzie hapo Kwanza
M ma ndizi Member Joined Oct 7, 2023 Posts 5 Reaction score 4 Jan 14, 2024 Thread starter #4 kawombe said: Ofisi mkoa Gani? Tuanzie hapo Kwanza Click to expand... Nipo mtwara
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,780 Reaction score 12,585 Jan 14, 2024 #5 Location muhimu sana hiyo biashara, maeneo ambayo kuna makazi ya waislamu wengi ndo inaenda hiyo, fanya research vizuri ila ni biashara nzuri
Location muhimu sana hiyo biashara, maeneo ambayo kuna makazi ya waislamu wengi ndo inaenda hiyo, fanya research vizuri ila ni biashara nzuri
kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,862 Reaction score 3,098 Jan 14, 2024 #6 Lumbi9 said: Location muhimu sana hiyo biashara, maeneo ambayo kuna makazi ya waislamu wengi ndo inaenda hiyo, fanya research vizuri ila ni biashara nzuri Click to expand... Waislamu ndio wateja boss?
Lumbi9 said: Location muhimu sana hiyo biashara, maeneo ambayo kuna makazi ya waislamu wengi ndo inaenda hiyo, fanya research vizuri ila ni biashara nzuri Click to expand... Waislamu ndio wateja boss?
Jane Msowoya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 5,321 Reaction score 10,170 Jan 14, 2024 #7 Lumbi9 said: Location muhimu sana hiyo biashara, maeneo ambayo kuna makazi ya waislamu wengi ndo inaenda hiyo, fanya research vizuri ila ni biashara nzuri Click to expand... Addition: kama ni mwanamke ajichanganye sana na wale wamama wanaopenda mashughuli kwa ajili yakufungisha sare maana wanakataga mita nyingi nyingi
Lumbi9 said: Location muhimu sana hiyo biashara, maeneo ambayo kuna makazi ya waislamu wengi ndo inaenda hiyo, fanya research vizuri ila ni biashara nzuri Click to expand... Addition: kama ni mwanamke ajichanganye sana na wale wamama wanaopenda mashughuli kwa ajili yakufungisha sare maana wanakataga mita nyingi nyingi
Msaga_sumu JF-Expert Member Joined Aug 31, 2022 Posts 346 Reaction score 374 Sep 11, 2024 #8 0764292986 nicheki najua machimbo nipo kkoo