naomba ushauri na msaada kitiba

kasweety

Member
Apr 3, 2012
7
2
habari zenu wana jf,,,,,,miminasumbuliwa na mistari mwilini yani streach mark ziko kiunoni na mapajani,,,,,nimejaribu dawa za sh amor mda sana bila mafanikio zimenitokea baada ya kunenepa, ,,,,,,,,nisaidieni nipone natamani niwe kama zamani
 
Hiyo Mistari ya streach mark iliyokutokea kwa sababu ya unene kwani inakudhuru?Mkuu. kasweety Dawa yake ni hii hebu ona video ....................

Last edited by a moderator:
Kupunguza uzito ni njia rahisi ya kupunguza kasi za hizo streach mark.
 
Tumia mafuta ya olive oil ya maji uwe unapaka sehemu husika, huwa yanasaidia kupunguza michirizi mwili.
 
hayo mafuta yanapatikana wapi,,,,,,,,ila mi simnene sana nini kg65 asa nawaona watu wanene zaidi ila hawana,,,why is tht?..
 
Back
Top Bottom