Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 1,833
- 3,089
Fafanua mkuuDar 250k per month tafuta bajij jiunge bolt, Uber
Mpaka hapo najitahidi mkuu na baada ya kufanya hivo kwa muda gani then wazoPunguza matumizi
Save 100000 kila mwisho wa mwezi hakikisha hauitumii
Shukran mkuu kwa kunipa moyoUnahitaji nidhamu kubwa sana ya pesa hiko ni kiwango cha Boom nakumbuka nlikua naishi na hiyo hela na kulipia kodi the bad thing now gharama za maisha ni kubwa..Tuendelee kupambana mpaka hapo umepambana sana
Acha tu ndugu yangu et ni mpaka utoke uangaike ndio uleBora binadamu tungekua tunakula udongo asee
Mkuu kwani kosa lipo wapi kuomba mawazo chanya ikiwa huna ushauri ni vema unyamaze kuliko kuropoka ujinga wako hapaKila siku unalia lia hap jukwaani mkuu si uache kazi ukaangalie fursa zingine!!
Na ndio wazo lililonileta humuHata ikatokea ukalipwa laki 6 kwa mwezi, bado haitatosha. Na kwa ufupi tu mshahara hautoshi. Hivyo unatakiwa kujiongeza kwa kuanzisha kashughuli ka kukuongezea kipato kila mwezi.
Ujinga kitu gani angalia fursa zingine mbona tuna matoto ya ndugu kibao tunasupport ada wewe hao nduguzo chakula tu unataka forum isimame Ebho!!! Kuwa serious basi last bornMkuu kwani kosa lipo wapi kuomba mawazo chanya ikiwa huna ushauri ni vema unyamaze kuliko kuropoka ujinga wako hapa
Kaa kimya huna akili wewe usikute hapo unatype ukiwa kwa shemej yako ukisubili chakula cha mchanaUjinga kitu gani angalia fursa zingine mbona tuna matoto ya ndugu kibao tunasupport ada wewe hao nduguzo chakula tu unataka forum isimame Ebho!!! Kuwa serious basi last born
Ahsante mkuu haya ndio mawazo tunayoyahitaji humu barikiwa sana250, n pesa ndgo kwa mwez kama huna kipato kingne…hvyo fanya namna uongeze kipato kwa kufanya biashara kwa muda wako wa ziada na weekend,hatuwez kukushaur uache kaz wakat huna kipato kingne
Kijana,
Zingatia haya
1.pangilia matumiz yako vizur,punguza yote yanayopunguzika ili angalau uweze kusave 50 had 100 kwa mwez kama sehem ya mtaji unatunza .fanya hv kwa miez kadhaa min 6
Nb.kama unagodoro,jiko,vyombo kias wachana na asset za ndan n ANASA kwako kwasasa,kwaza sio productive na huwez kuafford hyo pesa ifanye mtaji
Kipengele cha mahusiano kuyaacha sio busara labda kama utajiweza kuthibiti hisia zako vingnevyo tafuta kabint ka viwango vyako ambako sio kafujaji ukikapa hata 5k kanardhka
2.wakat huohuo weka ratiba zako vzr zinabe haswa upate muda wa ziada baada ya kaz na weekend
3.tafuta idea ya mtaji mdogo unayoweza iendesha kwa mtaji mdgo lkn ikawa smart mfano kuuza matunda ya package nk
4.hakikisha unajifunza Elimu ya fedha kuptia vitabu,mabandko na majarda,google nk kadri unavyojifunnza ndvyo unavyozid kupata ufaham na kujitawala sana kwenye eneo la fedha..
Nakutakia utekelezaji mwema
Hivii unaposhauri hivi unakuwa Unajifurahisha au???? Apunguze matumizi hiyo familia itakulaa mawee au???Punguza matumizi
Save 100000 kila mwisho wa mwezi hakikisha hauitumii
Kuna nyingine ni za kushangaza sanaHivii unaposhauri hivi unakuwa Unajifurahisha au???? Apunguze matumizi hiyo familia itakulaa mawee au???
Unalialia nini tafuta michongo ya kiume iyo kazi mwachie mdogo wako wa kike.Kaa kimya huna akili wewe usikute hapo unatype ukiwa kwa shemej yako ukisubili chakula cha mchana