musajohn58
Member
- Oct 28, 2014
- 34
- 8
Nina mpenzi wangu msichana mzuri tu ambae anafanya kazi shule moja ya secondary ila mm sina kazi npo tu mtaani Nina komaa na kibishi.
sasa kinachofanyika yule demu wangu ambae ni mpenzi wangu kabadilika kama wiki kazaa zilizopita, nikimtumia SMS hajibu kwa mda, nkimtumia SMS kwa WhatsApp baada ya mda itaonesha Derivering kuwa imesomwa lakin haijibiwi, mda mwingine nikimpigia simu hapokea.
Nimejaribu kumuuliza shida nn anasema Yuko bizy, kibaya zaidi nikimwomba game ananiambia hana mda wa kufanya hivyo, yaan ninampenda huyu bint ila inaniuma sana. Naomba ushauri wako nifanyaje!!